Upload New Image
Or scroll:
Rotate Image
Rotate Image
Kitale na Kobelo wamekuwa katika tasnia ya uigizaji kwa takriban miaka 20. Wamekuwa wakiburudisha jamii za Kitanzania kwa kipindi chote hicho.
Kitale ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Bongo Flava. Kitale na Kobelo ni watunzi Tamthilia, filamu na vichekesho.